• Breaking News

    Breaking News

    Tanzania Revenue Authority Institute of Tax Administration (ITA)

    Institute of Tax Administration (ITA)


    An integral part of the Tanzania Revenue Authority (TRA) - ISO 9001:2008 certified. Uniquely positioned to offer and support a range of programs leading to competencies in policy, law and administration in the areas of customs, taxation and related fields.






    MAHAFALI YA NANE YA  CHUO CHA KODI



    Chuo cha Kodi kinapenda kuwatangazia wahitimu kwa mwaka wa masomo 2014/2015 na umma wote kuwa Mahafali ya Nane (8) yatafanyika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jumamosi tarehe 16 Januari, 2016.

    Wahitimu wote wanaopenda kushiriki wanapaswa kuzingatia yafuatayo:

    Kuthibitisha, kabla ya tarehe 13/1/2016, kwa Makamu Mkuu wa Chuo Mipango Fedha na Utawala kwa maandishi kuwa watashiriki.
    Kulipia kiasi cha shilingi 50,000 kwa ajili ya joho na kuwasilisha stakabadhi ya malipo kwa Makamu Mkuu wa Chuo kabla ya 13/1/2016. Malipo yote yafanyike kupitia Benki ya CRDB, Akaunti ITA Fee Collection Account No. 0150303205600.
    Wahitimu waliolipia watachukua majoho na kuhudhuria mazoezi Ukumbini siku ya Ijumaa tarehe 15/1/2016, saa 3.00 asubuhi.
    Wahitimu watakaopenda kushiriki watagharimia usafiri na malazi yao. Aidha, Mkuu wa Chuo anapenda kuwakaribisha watumishi wa Mamlaka kwenye Mahafali hayo.

     “Pamoja Tunajenga Taifa Letu”

    Imetolwa na:

                                                                                 Mkuu wa Chuo,

    Chuo cha Kodi

    Eneo la Viwanda MIKOCHENI "B",

    S. L. P. 9321, Dar es salaam.

    Simu: +255 22 2925114, 0688014717, +255 22 2925100, 0675567985;

    E-mail: ita@tra.go.tz

    No comments:

    Post a Comment

    Fashion

    Beauty

    Travel